Kujitolea kwetu kwa jamii ya shule zetu za Menasha
< Back
KUJITOLEA KWETU KWA JAMII YA SHULE ZETU ZA MENASHA
Menasha Joint School District (MJSD) inajitolea kutoa mawasiliano bora na kwa wakati, kwa wafanyikazi na familia zetu kwenye jamii yetu ya MJSD. Idara ya Huduma za Lugha inasaidia kutoa huduma zakuzungumzwa (kutafsiri) na zakuandikwa (tafsiri) zenye kuhitajikwa kufikia lengo hilo kila siku.
Wazazi wanaohitaji huduma za utafsiri wa Kihispania wanaweza kupiga simu 920-967-1402 au barua pepe ya translator@mjsd.k12.wi.us kwa msaada wa haraka. Wazazi wanaohitaji kutafsiri kwa lugha tofauti wanaweza kupiga simu 920-967-1402 na kuomba kupigiwa simu kwa lugha wanayopendelea. Baedae kidogo watapigiwa simu na mtafusiri wetu wakati atapatikana.
|
|
|